Ni saloon ya kisasa inayotoa huduma mbali mbali
Tnaptkana kwrekwe sokoni
-Tunachora hina na piko za aina mbalimbali .mchoro y kisasa zaid
-Vile vile SALMA BEAUTY SALOON inatoa huduma za upambaji
tnapamba maharus kwa bei nafuu Sana .huduma zetu ni Bora na tnasfka mjin kote
Vile vile tunatoa mafunzo ya upambaj na uchoraji
Kwa mahitaji ya huduma Bora fika SALMA BEAUTY SALOON
M/kwrekwe sokoni
Kwa maelezo zaid wasiliana nasi kwa namba zfuatazo 0774007439
SALMA BEAUTY SALOON kwa huduma Bora na za kisasa zaid